Bukobawadau

MDAU IJUWE BARUA KUTOKA KANDA YA ZIWA-Kipindi Kipya cha Television Channel ten! Kesho jumapili saa 12:00 jioni

Ndugu Mdau unaombwa kutazama kipindi kipya cha Television kiitwacho "Barua kutoka kanda ya Ziwa" kila siku ya Jumapili saa 12:00 Jioni channel ten .Kipindi hiki  kilianza kurushwa October  14,2012.

Kipindi hiki ni cha dk 30, ni kipindi cha kwenye field siyo studio na kwa asilimia kubwa mfumo wake ni wa uibuaji wa masuala yaliyojificha katika jamii hasa maeneo ya pembezoni hasa vijijini (Ni cha uchunguzi).Mtayarishaji mkuu wa kipindi hiki ni mimi mwenyewe .

Husikose kutazama kesho jumapili saa 12:00 jioni. Ambao hawakuweza kutazama kipindi kilichopita mnaweza kukitzama online hapa chini. 
 


Email ya kipindi ni baruatv@hotmail.com

Mungu awabariki sana

Wasalaam,

Mathias Byabato

0754 527358
Host-Barua Kutoka Kanda ya Ziwa
Next Post Previous Post
Bukobawadau